#TAFAKARI YA ASUBUHI; KUELEWA PEKEE HAITOSHI, FANYA KITU…

By | June 10, 2020
“It’s not enough to understand; you’ve got to do something.” — Sandra Day O’Connor Umesoma kitabu na kuielewa dhana fulani vizuri, usiishie hapo, fanya kitu kwa dhana hiyo uliyoielewa. Umemsikiliza mtu akifundisha kitu fulani na kuelewa vizuri, usiishie hapo, nenda kachukue hatua mara moja kwa kile ulichoelewa. Unaweza kuelewa vizuri

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: #TAFAKARI YA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz