2000; Kuwa Makini Na Maoni…

By | June 22, 2020
Kila mtu ana maoni kwenye jambo lolote lile, hata lile ambalo mtu hana utaalamu nalo wala halijui kwa undani. Kwa kusikia tu kutoka kwa wengine, tayari na yeye anaweza kutengeneza maoni yake. Wewe mwenyewe una maoni ya kila aina na kwa kila eneo, hata maeneo ambayo huna utaalamu wala uelewa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In