2014; Hofu Na Kutishika…

By | July 6, 2020
Kutishika ni jambo la kawaida kwenye maisha yetu ya kila siku. Pale unapokutana na hali isiyo ya kawaida, pale unapopata ambacho hukutegemea, huwa unakuwa kwenye hali ya kutishika. Lakini uzuri wa kutishika ni kitu cha muda mfupi, hutaendelea kutishika baada ya kitu kutokea. Kilicho kibaya ni hofu, hofu huwa inaendelea

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In