#TAFAKARI YA ASUBUHI; UJUAJI NI KIKWAZO…

By | July 20, 2020
“It’s impossible to begin to learn that which you think you already know.” – Epictetus Hatua ya kwanza ya kujifunza ni kujua kwamba hujui. Ukiwa mjuaji, huwezi kujifunza. Na ujuaji umekuwa kikwazo kwa wengi, Wanafikiri wanajua kila kitu hivyo hawana tena cha kujifunza. Wakati mwingine wanajua hawajui, lakini hawataki kuonekana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In