2034; Kila Maamuzi Ni Mapya…

By | July 26, 2020
Ukimchukua mtu yeyote aliyefanikiwa na kumfanya aanze upya safari yake ya mafanikio, ila arudie kila alichofanya kwa namna alivyofanya, hatafikia mafanikio aliyofikia. Maamuzi ambayo mtu aliyafanya miaka iliyopita, akiyafanya tena leo hayatampa matokeo kama ya kipindi hicho. Mazingira na hali ambazo mtu alikuwa anakabiliana nazo kwa kipindi kilichopita, siyo sawa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In