#TAFAKARI YA ASUBUHI; MSAMAHA NI UHURU…

By | July 29, 2020
“Forgiveness is not forgetting. Forgiveness is freedom from hate.” — Valarie Kaur Msamaha siyo kusahau kile ambacho mtu amekufanyia, Bali msamaha ni uhuru kutoka kwenye chuki, Unaposamehe, unajiweka huru, Usiposamehe unakuwa umejiweka kwenye kifungo cha chuki ambayo itaendelea kukutesa. Hivyo usikubali kukaa na chuki au vinyongo vya aina yoyote. Samehe

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In