2047; Watu Tayari Wapo, Ni Wewe Kuonekana…

By | August 8, 2020
Upo usemi kwamba mwanafunzi anapokuwa tayari, mwalimu huonekana. Usemi huu una maana kubwa kwamba walimu tayari wapo, ila wanafunzi ndiyo hawajawa tayari. Ina maana yule anayesema hapati wa kumfundisha, hajawa tayari kujifunza. Sasa nataka tutumie kauli hiyo kwa namna nyingine, kwa upande wa kazi na biashara tunazofanya. Tunapaswa kuutumia usemi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In

2   +   5   =