2051; Usiyevurugwa…

By | August 12, 2020
Huwezi kuanza na kuimaliza siku yako nzima bila ya mtu kukukwaza kwa namna moja au nyingine, labda kama hutakutana au kuwasiliana na mtu kwenye siku yako. Watu kukuangusha au kukukwamisha ni hali ya kawaida kwenye kila siku ya maisha yako. Mtu atakuahidi kitu na hatatekeleza, mwingine atachelewa tofauti na matarajio

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In