2066; Kujikweza Na Kujiamini, Ushahidi Na Kuamini, Ukweli Na Maoni…

By | August 27, 2020
Kuna vitu ambavyo huwa vinakaribiana sana, ambapo mstari wa kuvitofautisha ni mwembamba sana kiasi kwamba usipokuwa makini unaweza kwenda upande usio sahihi. Tukianza na kujikweza na kujiamini, hivi ni vitu vinavyokaribiana sana. Kujiamini ni kuzuri, kunakusaidia kufanya makubwa kwenye maisha yako. Lakini pale kujiamini huko kunapozidi na ukaona hakuna aliye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In