2070; Je Umeweka Kazi?

By | August 31, 2020
Nimekuwa nasema, moja ya vitu tunavyopaswa kujifunza kutoka kwenye hadithi za waliofanikiwa ni mchakato waliopitia na siyo kile ambacho wamefanya. Wale waliofanikiwa, kama wangeanza tena kufanya walichofanya, wasingeweza kupata matokeo waliyopata sasa, lakini bado wangefanikiwa kwa kupata matokeo tofauti kwa sababu wana mchakato wanaoutumia. Unaposikia kwamba Thomas Edison alishindwa mara

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In