2079; Hadithi Za Mafanikio Zisiwe Kikwazo Kwako…

By | September 9, 2020
Hadithi za mafanikio zimekuwa kikwazo cha mafanikio kwa walio wengi. Na wengi wanaokwamishwa na hadithi hizo ni wale ambao hawajajua nini hasa wanachotaka kwenye maisha yao. Hivyo wakisoma hadithi moja ya mtu aliyefanikiwa kwenye kulima mpunga, wanapanga kwenda kulima mpunga. Kesho wakisoma hadithi ya mtu mwingine aliyefanikiwa kwenye kufuga kuku,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In