2083; Tunakuangalia Wewe Wa Leo…

By | September 13, 2020
Umekuwa unayatoroka maisha, kwa kuepuka kuishi leo na kukimbilia kuishi jana na kesho. Kwa kuwa ugumu wote wa maisha yako unakabiliana nao leo, ni rahisi kujikumbusha mazuri yaliyopita au kujiliwaza kwa mazuri unayotegemea yawe. Lakini hilo halitatui ugumu unaokabiliana nao. Unakuwa unajidanganya tu, kwa sababu jana haitajirudia na hiyo kesho

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In