2087; Kinachofanya Upate Muda Wa Kuhangaika Na Mambo Madogo Madogo…

By | September 17, 2020
Kuhangaika na mambo madogo madogo kwenye maisha yako ndiyo kikwazo kwako kuhangaika na mambo makubwa na yatakayokuwezesha kupiga hatua kubwa kwenye maisha yako. Unaweza kujishangaa, iweje upoteze muda, nguvu na umakini wako kwa mambo yasiyo na tija, huku kukiwa na mambo mengine yenye tija. Kuna mambo matatu yanayopelekea hali hiyo.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In