#TAFAKARI YA LEO; KAZI NA KELELE…

By | September 25, 2020
“Hurried work done in irritation attracts the unfavorable attention of others. Real work is always quiet, constant, and inconspicuous.” – Leo Tolstoy Kazi isiyo sahihi, inayofanywa kwa haraka na kelele nyingi, huwa inawavutia wengi na kuonekana ni maarufu. Lakini huwa siyo kazi sahihi na matokeo yake huleta uharibifu kwa wengi.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: #TAFAKARI YA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz