2098; Tabia Ni Kama Akiba…

By | September 28, 2020
Akiba ni kitu unachoweka wakati mambo yako yanakwenda vizuri, ili kikusaidie pale mambo yatakavyokwenda vibaya. Unapozingatia hilo, unaepuka usumbufu na gharama zisizo na ulazima. Mfano unapojikuta kwenye changamoto za kifedha, ukiwa na akiba unazitatua, ukiwa huna, unaingia kwenye mkopo ambao utakuumiza zaidi. Unanunua mwavuli wakati wa kiangazi, ili wakati wa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In