2101; Siyo Asilimia 10, Bali Mara 10…

By | October 1, 2020
Watu wengi wamekuwa wanajiambia wanaanzisha biashara mpya kwa sababu wameona fursa fulani mahali. Lakini ukweli siyo wanaanzisha biashara mpya, bali wanakwenda kuiga biashara nyingine inayofanyika eneo hilo au kuhamisha biashara kutoka eneo jingine kwenda hapo. Hivyo biashara wanayokwenda kuanzisha siyo ya tofauti wala ya kipekee sana. Na hapo wanakuwa wamejipeleka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In