#TAFAKARI YA LEO; USISUBIRI HAMASA, ANZA KUFANYA…

By | October 15, 2020
“Amateurs sit and wait for inspiration, the rest of us just get up and go to work.” – Stephen King Kitu kikubwa kinachowatofautisha wabobezi na wachanga ni hamasa. Wachanga huwa wanasubiri hamasa ije ndiyo waanze kufanya. Na kwa sababu hamasa haitabiriki wala haitegemeki, huwa wanachelewa kuanza kufanya na hivyo hawafanyi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In