#TAFAKARI YA LEO; KUKIMBILIA KUONGEA, UNAISHIA KUONGEA UJINGA…

By | November 5, 2020
“The more urgently you want to speak, the more likely it is that you will say something foolish.” – Leo Tolstoy Kadiri unavyokimbilia kuongea, ndivyo kile unachoongea kinavyozidi kuwa cha kijinga. Unapokimbilia kuongea hupati muda wa kutosha kutafakari kitu kabla ya kukisema. Wengi huishia kujidhalilisha kwa yale wanayokimbilia kuongea. Wanasema

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In