2137; Kipi Wanajua Ambacho Hujui…

By | November 6, 2020
Unapoona watu wanafanya mambo ambayo kwako yanaonekana ni ya kijinga, lakini yanawanufaisha, unapaswa ujifunze kutoka kwa watu hao. Kiburi na ujuaji imekuwa kikwazo kwa wengi kujifunza. Kuchagua upande fulani na kung’ang’ana nao kumewazuia wengi kutokuona ukweli na kuutumia vizuri. Kulinda kile walichofanya jana na kuwa na msimamo wa kijinga kumewazuia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In