#TAFAKARI YA LEO; MSIMAMO NI MGUMU…

By | November 10, 2020
“It’s easy to be great. It’s hard to be consistent.” – Steve Martin Kuna watu wengi ambao huwa wanafanikiwa kupiga hatua fulani, lakini baada ya hapo wanaanguka vibaya. Kufanikiwa siyo kitu kigumu sana, ila kubaki kwenye mafanikio hayo ndiyo kitu kigumu na kinachowashinda wengi. Kubaki kwenye mafanikio inamtaka mtu kuwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In