2142; Wakati Gani Wa Kuyaamini Machale…

By | November 11, 2020
Kuna wakati unafanya maamuzi bila ya kujua kwa nini unayafanya na yanaishia kuwa maamuzi sahihi. Hapo unajiambia kwamba machale yamekucheza na ukaona kitu ambacho huwezi kukielezea lakini ni sahihi. Lakini pia kuwa wakati machale hayo hayo yanakupoteza, yanapelekea ufanye maamuzi ambayo siyo sahihi na yanayokugharimu. Machale ni zile hisia unazozipata

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In