2147; Msongo Ni Pale Ambapo Huwezi Kujidanganya Tena…

By | November 16, 2020
Watu wengi wamekuwa wanapitia msongo wa mawazo kwenye maisha yao na wasijue nini chanzo. Wanajikuta wamezama kwenye msongo huo na kushindwa kuondokana nao kwa sababu hawajui chanzo. Kuna sababu kubwa mbili, ya kwanza ni kulazimisha mambo, kutaka mambo yawe tofauti na yalivyo au nje ya uwezo wako, sababu hii hatutaijadili

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In