2151; Kukubali Kutokukubaliana…

By | November 20, 2020
Mara nyingi watu wamekuwa wanashangaa nawezaje kukubaliana na kila mtu, hata kama anaamini na kusimamia kile ambacho ni tofauti kabisa na mimi. Nina mifano mingi ya namna ambavyo watu wamekuwa wanashangazwa na hilo na hata wengine kukasirishwa. Mfano tunaweza kuwa tunajadiliana jambo, ambapo niko upande fulani, halafu baada ya muda

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In