2161; Njaa, Hasira, Upweke Na Uchovu…

By | November 30, 2020
Kamwe usifanye maamuzi ukiwa kwenye hali hizo nne. Kwani maamuzi utakayoyafanya ukiwa kwenye hali hizo, huishia kuwa maamuzi mabovu na yatakayokugharimu mno. Hali hizo huwa zinaondoa kabisa uwezo wa akili kufikiri kwa umakini na kufikia maamuzi sahihi. Unapofanya maamuzi kwenye hali hizo, unakuwa umesukumwa zaidi na hisia kuliko kufikiri. Kila

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In