2164; Kiburi Na Ujinga…

By | December 3, 2020
Ndiyo vitu pekee vinavyoleta anguko kubwa baada ya mtu kuwa amefanikiwa. Wote ambao waliwahi kufanikiwa na kufika ngazi za juu, lakini baadaye wakaanguka kutoka kwenye mafanikio yao, ni kwa sababu ya vitu hivyo viwili, kiburi na ujinga. Kiburi ni pale mtu anapojua kitu sahihi anachopaswa kufanya, lakini hakifanyi. Mafanikio huwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In