#TAFAKARI YA LEO; MAANA HALISI YA UJASIRI…

By | December 17, 2020
“Courage is not having the strength to go on: it is going on when you don’t have the strength.” — Theodore Roosevelt Wengi hufikiri ujasiri ni kuwa na nguvu ya kuendelea na mapambano pale mambo yanapokuwa magumu. Lakini ukweli ni ujasiri ni kuweza kuendelea hata pale unapokuwa huna nguvu kabisa.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In