2181; Punguza Maamuzi Unayofanya…

By | December 20, 2020
Kila maamuzi unayofanya, yanapunguza sehemu ya nguvu ya utashi wako wa kiakili. Kadiri unavyofanya maamuzi mengi kwenye siku yako, ndivyo unavyochoka kiakili na kushindwa kufanya maamuzi bora. Na siyo lazima maamuzi yawe makubwa ndiyo yakuchoshe, chochote unachofikiria kwa muda kabla ya kuchukua hatua, kinakula nguvu yako ya akili. Mfano kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In