2182; Ni Kwa Sababu Unapenda, Siyo Kwa Sababu Kuna Kitu Unategemea Kupata…

By | December 21, 2020
Chochote unachofanya kwenye maisha kwa mategemeo ya kupata kitu fulani, ukiweka juhudi utapata kile unachotaka kufanya. Lakini ukishakipata, huo ndiyo unakuwa mwisho wako, na wakati mwingine kupata ulichokuwa unatafuta kunaweza kuwa sumu na kikwazo kwako kupiga hatua zaidi. Wale wanaofanikiwa zaidi, wale wanaofanya makubwa kwenye maisha yao, ni wale wanaofanya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In