#TAFAKARI YA LEO; KABLA HUJAWEKA JUHUDI…

By | December 23, 2020
“Speed is only useful if you are running in the right direction” – Joel Barker Kabla hujaweka juhudi kubwa kwenye kile unachofanya, hakikisha kwanza ndiyo kitu sahihi kwako kufanya. Maana kama unachofanya siyo sahihi, juhudi zote unazoweka unazipoteza. Kabla hujaweka kasi kubwa kwenye safari uliyonayo, Hakikisha kwanza uko kwenye uelekeo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In