2188; Vinabaki Na Wewe…

By | December 27, 2020
Ukila chakula, kinameng’enywa tumboni, kisha kufyonzwa mwilini na kwenda kuwa sehemu ya mwili wako. Hivyo kila unachokula, kinaenda kuwa sehemu ya wewe. Kadhalika kwenye yale tunayofanya, huwa yanakuwa sehemu yako, yanakuwa wewe. Kitu chochote unachofanya kwa kujirudia rudia, kinaenda kuwa tabia ambayo inakuwa sehemu yako. Hivyo chochote kile unachofanya, humfanyii

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In