#TAFAKARI YA LEO; RAHISI HAINA THAMANI…

By | December 29, 2020
Watu wengi wanahangaika kutafuta njia rahisi na za mkato za kupata mafanikio makubwa. Na hilo huwapeleka kufanya vitu ambavyo ni rahisi na vinavyofanywa na kila mtu. Matokeo yake ni hawafanikiwi, kwa sababu kile kinachofanywa na kila mtu hakithaminiwi. Jamii itakuthamini kama unafanya kitu ambacho inakihitaji sana, lakini hakuna mwingine anaweza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In