#TAFAKARI YA LEO; MAISHA YANGU NI JUKUMU LANGU…

By | January 1, 2021
Maisha yangu ndiyo jukumu langu kuu hapa duniani. Ndiyo wajibu wangu wa kwanza. Kama maisha yangu hayapo vile ninavyotaka, mimi ndiye wa kuwajibika. Sitamwachia mwingine jukumu hili, maana wengine nao wanapambana na maisha yao. Sitalalamika wala kumlaumu yeyote, badala yake nitachukua hatua sahihi kuyaboresha maisha yangu. Kama kuna jambo halipo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In