#TAFAKARI YA LEO; FANYA CHOCHOTE…

By | January 12, 2021
Kama upo njia panda na hujui kipi cha kufanya, anza kufanya chochote. Kwa kufanya chochote ni rahisi kufika kwenye kilicho sahihi kwako kufanya kuliko kuendelea kusubiri. Kwa kuanza na chochote unajifunza na kupata msukuko wa kuendelea kuliko kusubiri. Unaweza kusubiri utakavyo, lakini tambua muda haukusubiri na muda ukishapita haurudi tena.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In