2207; Hujateleza, Ndiyo Uhalisia Wako…

By | January 15, 2021
Viumbe hai wengine wote ukiacha binadamu, huwa wanazaliwa wakiwa tayari wana njia ya kuyaendesha maisha yao. Wanakuwa tayari kukabiliana na mazingira yao pale wanapokuwa wamezaliwa na wanayaendesha hivyo maisha yao. Binadamu ndiye kiumbe hai pekee anayezaliwa akiwa hana maandalizi kamili ya kukabiliana na maisha yake, ndiyo maana anachukua muda mrefu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In