2208; Jehanamu Unaishi Nayo…

By | January 16, 2021
Watu wengi wamekuwa hawaielewi vizuri dhana ya jehanamu. Wanachoelewa ni kwamba kama utafanya uovu au dhambi, utakapofika mwisho wa dunia basi utahukumiwa kwenda jehanamu na kuteseka milele. Mateso ya huko yameelezewa kuwa mengi na makali, ikiwepo kuchomwa moto. Dhana ya jehanamu ni adhabu ambayo mtu unaipata pale unapokuwa umefanya uovu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In