2215; Vitu Vipya Na Vizuri…

By | January 23, 2021
Hii ndiyo njia ambayo dunia imekuwa inatumia kuwahadaa watu wasifanikiwe. Kila unapopanga na kuamua kuweka umakini wako kwenye yale muhimu zaidi kwako, hapo hapo dunia inakuja na kitu kipya na kinachoonekana kizuri, ambacho unaona hupaswi kupitwa. Unaacha ulichopanga na kuhangaika na kitu hicho kipya, baadaye unakuja kugundua haikuwa sahihi kwako.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In