2220; Chagua Jumuia Sahihi Kwako…

By | January 28, 2021
Sisi binadamu ni viumbe wa kijamii, huwa hatuwezi kuwa na utulivu tukiwa peke yetu. Tunapata amani na utulivu tunapojua ni sehemu ya jumuia fulani. Ndiyo maana ni rahisi vijana wanaobalehe kuingia kwenye makundi yenye ushawishi mbaya kwao. Wanakuwa kwenye kipindi cha mabadiliko kwenye maisha yao, ambapo wanataka kuondoka chini ya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In