#TAFAKARI YA LEO; MUDA NI TIBA ISIYOSHINDWA…

By | January 29, 2021
Unaweza kuhangaika na jambo, ukaweka kila aina ya juhudi lakini bado usipate matokeo unayotaka. Hapo unapaswa kuuachia muda ufanye yake, kwa sababu muda ni tiba isiyoshindwa. Baada ya muda mrefu, suluhisho litajitokeza lenyewe au jambo unalohangaika nalo litapotea au kukosa umuhimu. Usijiumize au kukata tamaa pale juhudi unazoweka hazileti matokeo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In