2224; Kazi Yako Ni Kazi Yako…

By | February 1, 2021
Kazi yako siyo kutetea kile unachokifanya, Kazi yako siyo kumridhisha na kumfurahisha kila mtu, Kazi yako siyo kutaka uonekane kwa unachofanya, Bali kazi yako ni kufanya kazi yako, kwa namna ambayo inaongeza thamani kubwa kwa wengine na kukuingizia wewe kipato cha kuendesha maisha yako kwa namna inayokuweka huru. Inashangaza jinsi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In