#TAFAKARI YA LEO; ANGALIA MASLAHI YAO…

By | February 3, 2021
Watu wanaweza kufanya vitu ambavyo vinatushangaza, tukashindwa kuelewa kwa nini wamefanya hivyo. Ipo njia rahisi ya kuwaelewa watu kwa yale wanayofanya, ambayo ni kuangalia maslahi yao kwenye kile wanachofanya. Kwa asili sisi binadamu ni wabinafsi, tunatanguliza maslahi yetu mbele kabla ya kingine chochote. Hivyo unapomuona mtu anafanya kitu, hata kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In