#TAFAKARI YA LEO; TATIZO LA MBIO ZA PANYA…

By | February 4, 2021
Watu huwa wanajaribu kukuweka kwenye mashindano ya kila aina. Na ndani yetu binadamu, huwa tuna roho ya kupenda kushindana. Ila tatizo kubwa la mashindano hayo ni hata ukishinda, hakuna unachonufaika nacho. Unaweza kubishana na watu na ukawashinda, lakini hutakuwa umewabadili. Unaweza kushindana kibiashara na kuona umeshinda, lakini kiuhalisia hujashinda. Tatizo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In