2229; Usijichukulie Poa…

By | February 6, 2021
Usiwe na mashaka juu yako, maana palipo na mashaka hapawezi kuwa na kujiamini. Haijalishi unayokabiliana nayo ni magumu kiasi gani, jiamini na jua una uwezo wa kuyashinda. Kujiamini ni nusu ya kuweza kufanya chochote. Usipojiamini, hata kitu kidogo kitakushinda. Usijidharau, maana utawapa wengine nafasi ya kufanya hivyo na utashindwa kujisimamia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In