2231; Kusudi La Kufanya Kitu…

By | February 8, 2021
Huwa tunajenga tabia, halafu tabia zinatujenga. Tunapoanza kufanya kitu mara ya kwanza huwa ni kigumu, baadaye tukishazoea huwa tunajikuta tunafanya bila ya ugumu kabisa. Kwenye siku yako, zaidi ya asilimia 60 ya vitu unavifanya bila ya kufikiri kabisa, unavifanya kwa mazoea kiasi kwamba unajikuta umeshafanya bila hata ya kujua. Hivyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In