#TAFAKARI YA LEO; HAKUNA ANAYEKUFIKIRIA SANA…

By | February 8, 2021
Hakuna anayekosa usingizi kwa kukufikiria wewe, kila mtu anahangaika kujifikiria mwenyewe. Unafikiria wengine wanafikiri nini kuhusu wewe, kumbe na wao wanafikiria wewe unafikiri nini kuhusu wao. Unaweza kuacha kufanya baadhi ya vitu ili kuwaridhisha wengine kumbe hata hawana muda wa kufuatilia nini umefanya na kwa nini umefanya. Kila mtu ana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In