2232; Mahali Pa Kupumzisha Akili Yako…

By | February 9, 2021
Akili yako inahitaji kupata mapumziko, hasa baada ya kufanya kazi nzito za kujifunza, kufikiri na kufanya maamuzi. Lakini haitapata mapumziko hayo kwa kutumia vilevi, hivyo huchosha zaidi mwili na akili. Pia akili haitapata mapumziko kwa kuangalia tv au kuperuzi mitandao ya kijamii, huko utaisisimua zaidi akili na kuichosha. Kadhalika akili

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In