#TAFAKARI YA LEO; UAMINIFU NDIYO USTAARABU…

By | February 11, 2021
Ustaarabu unajengwa kwenye msingi wa uaminifu, pale watu wanapoweka ahadi na kutekeleza ahadi hizo. Uaminifu unapokosekana, watu hawaaminiani na kila mtu anaumia. Unaenda kwa daktari ukiamini atafanya kile chenye manufaa kwako, kadhalika kwa mwalimu, mwanasheria, mhasibu na hata mfanyabiashara. Swali la kujitafakari leo ni je, ahadi gani unawapa watu na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In