#TAFAKARI YA LEO; UPANDE WA PILI WA JAMBO…

By | February 13, 2021
Watu wawili wanapogombana au kutokuelewana, jua kila mmoja amechangia kwa namna fulani pale walipofikia. Japo ukisikiliza upande mmoja mmoja, utasikia kila upande ukilaumu upande mwingine na upande huo kuonekana ni sahihi. Lakini utakuwa umefanya makosa makubwa kama utasikiliza upande mmoja pekee, kwa sababu kila jambo huwa lina pande mbili. Kabla

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In