#TAFAKARI YA LEO; MUDA HAUKUSUBIRI….

By | February 20, 2021
Dunia haikusubiri wewe mpaka uwe tayari kuanza. Kila siku jua linachomoza na kuzama, miaka inayoyoma na muda wako hapa duniani unazidi kupungua. Wakati unapanga kusubiri au kuahirisha chochote, jikumbushe hili. Unaweza kufa muda wowote, jua hilo na likusaidie kwenye kuyaishi maisha yako ya kila siku, ndivyo alivyosema na kuishi Mstoa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In