2245; Kutatua Matatizo Makubwa…

By | February 22, 2021
Kwanza ni lazima uwe na mtazamo mkubwa kuliko tatizo lenyewe, lazima ufikiri kwa ukubwa kiasi kwamba tatizo linaonekana ni dogo. Kwa sababu usipofanya hivyo, tatizo litaonekana ni kubwa kuliko uwezo wako. Pili inabidi ujitofautishe na tatizo hilo, uweze kuliona kama vile mtu mwingine anavyoweza kuliona, uache kujishikiza nalo kihisia. Hisia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In

3   +   3   =