#TAFAKARI YA LEO; SIYO KUFANYA MENGI…

By | February 23, 2021
Wengi hufikiri ili kufanikiwa lazima mtu afanye mambo mengi, ahangaike na kila linalopita mbele yake. Lakini huo siyo ukweli, wale wanaohangaika na mengi huwa hawafanikiwi, kwa sababu wanatawanya sana nguvu zao. Ili ufanikiwe unapaswa kufanya mambo machache kwa kina na siyo kufanya mengi kwa juu juu. Kufanya hayo machache kunakuweka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In